HAMISA KUVISHWA PETE YA UCHUMBA TAR 2 PALE ESCAPE 1


 
Hamisa Mobeto atavishwa pete ya uchumba na mpenzi wake pale Escape 1 tar 2 mwezi wa nane ambapo utakuwa usiku wa instagram party ambapo msanii Alikiba atafanya shoo siku hiyo..


Comments