Dunga ndie kocha mpya wa timu ya taifa ya brazili ambae aliisaidia kupata ubingwa unia wa kombe la d mwaka 1994 wakati yeye akiwa mchezaji wa timu hiyo.Pia aliwai kuwa kocha baada ya kustaafu kucheza mpira mwaka 2006 mpaka 2011.
Dunga ameweza kuipiku nafasi ya Luis Felipe Scolari ambae amejiuzulu baada ya timu ya Brazil kupigwa bao 7-1 na timu ya Ujerumani.
Comments
Post a Comment