Dida ambae ni mtangazaji maarufu na MC mashuhuli sana ameweza kuwa na gundu la kutoweza kuishi na wanaume kwa muda mrefu kutokana na tabia chafu alizonazo na kumpelekea kuachwa mara tatu kwa kipindi cha karibuni.Na yeye ajari ndoo kwanza yuko busy na maisha yake.
Comments
Post a Comment