
Shughuli hiyo iliongozwa na babu tale akisaidiana na mchumba wa diamond wema sepetu,baada ya watu kumaliza kufuturu aliamua kuziachia video hizo mbili na kumkabidhi gari hilo mamadiamond.Shughuli hiyo iliudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo wema,aunt ezekiel,prof jay,sheta na wengine kibao.Mama diamond leo katimiza miaka 55.

Comments
Post a Comment