DIAMOND AWA MWANASHERIA WA KUJITEGEMEA......CHEKI HIZI PICHA...








Hizi ni baadhi ya picha zilizokuwa zinashootiwa katika video mya ya Prof Jay aliyomshirikisha Diamond iitwayo "kipi sijasikia" ambapo diamond aliigiza kama wakili wa prof jay ambapo leo walianzia kushoot mahakamani kama uonavyo.

Comments