Mwanamuziki wa bongo fleva Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platinumz ameweza kunyakuwa tunzo 2 moja ikiwa ya msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki na nyingine akiwa ameshida ya wimbo bora wa kushirikiana wa afrika.Tunzo hizo zilifanyika nchini Eisemann Center Texas Marekani zinazoitwa African Muzik Magazine Awards.
Ambapo Diamond Platinumz aliambatana na meneja wake Babu Tale.
Hili ndio jengo la lilikuwa likitumika katika shughuli hizo.
Comments
Post a Comment