CHEKI VIDEO MPYA YA LINAH HAPA CHINI.....



Linah mwanamziki kutoka tanzania amefanya video ya nyimbo yake mpya iitwayo OLE THEMBA ambapo video hiyo alifanyia south africa chini ya GODFATHER PRODUCT ambae produer huyo ndie aliefanya video za Diamond,Ommy Dimpoz,Psquare na wengine kibao. 


Comments