CHEKI KILICHOJIRI KWENYE MECHI YA TAIFA STARS VS MSUMBIJI

 
Mshambuliaji wa timu ya taifa Mbwana Samatta akitafuta mbinu ya kuwatoka wachezaji wa msumbiji katika mechi iliyochezeka leo katika uwanja wa Taifa jijini Dae es salaam.

 
Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa timu ya msubiji.


 
Mshambuliaji wa timu ya Taifa Mbwana Samatta akiwa katikati ya wachezaji wa Msumbiji

 
Mshambuliaji wa timu ya Taifa stars THOMAS Ulimwengu akimtoka beki wa msumbiji Zainadine Junior.



 
Mshambuliaji Khamis Mcha akiwa katika harakati za kufunga goli.

 
golikipa waTaifa stars akiwa na furaha baada ya kupata bao la pili,golikipa huyo Deogratious Munishi alijichora katika chezi zake maneno haya "Sisi ni watoto wa Rais Kikwete.

Comments