BREAKING NEWS:JULIANA KANYOMOZI AFIWA NA MTOTO WAKE...

 
Mwanamuziki anaefanya vizuri sana East Africa Juliana Kanyomozi anaetokea Uganda amepata pigo baada ya kuondokewa na mtoto wake mdogo wa kiume aitwae Keron baada ya kusumbuliwa na maradhi ya pumu kwa muda mrefu.Mtoto huyo alifia katika hospitali ya Agha Khan Hospital iliopo Uganda.

 
Mwanamziki huyo mrembo alithibitisha kutokea kwa msiba huo na kusema mtoto wake alifariki sa 10:25 asubuhi hii,na alikuwa mpiganaji wa afya yake.Anawaomba mashabiki wake wamuombee mtoto wake apumzike kwa amani.

Comments