BOB JUNIOR AMCHANA DIAMOND NA OMMYDIMPOZ.....SOMA HAPA


 
Bob Junior mwimbaji na producer ambae ni mmiliki wa Sharobaro Rec anaetamba na nyimbo ya Bolingo,ameamua kumchana Diamond kuwa anatakiwa kumueshimu Alikiba kwa Alikiba ni msanii pekee mwenye vocal nzuri na Diamond anatakiwa kumueshimu,Pia alimwambia Ommy Dimpozi kuacha kuingilia ugomvi usiomuhusu.

Comments