BOB JUNIOR AKUBALI KUTUMIA RANGI ZA MIDOMO...




Bob junior mwanamuziki,producer na mmiliki wa sharobaro recods amekiri kutumia rangi za midomo na kutoa sababu kwanini anatumia kupitia kipicha cha U HEAD cha clouds fm kinachoongozwa na SOUDY BROWN.

Comments