BASI LA HOOD LAPATA AJALI LEO.




 
Basi la kampuni ya Hood likiwa limepata ajali asubuhi ya leo ila mpaka sasa aijajulikana watu wangapi wamepoteza maisha au kujeruhiwa.


Comments