BALOTELI AJIACHIA BAADA YA KUTOLEWA KATIKA KOMBE LA DUNIA..

Mario Baloteli mchezaji wa timu ya taifa Italy na mchezaji wa Ac Millan amua kujiachia na mchumba wake Fanny Neguesha katika fukwe za miami baada ya kutolewa kombe la dunia na timu ya CostaRica.















Comments