Baba mkwe mtarajiwa amekataa maneno yanayoenezwa kuhusu kumkataa mkwe wao shilole;Mzee huyo alisema amekubali mwanae amuoe shilole kwani wanapendana na kuhusu tatoo hiyo inaonyesha jinsi gan mtoto wake anampenda mchumba wake.Aliongeza kuwa yeye alishamuona mkwewe kwani alienda kuwatembelea na mtoto wake ndo aliyempeleka.
Comments
Post a Comment