BABA KANUMBA:MAMA KANUMBA ACHA NJAA MIMI MBNA NINA UWEZO....



Baba kanumba amwambia mzazi mwenzie kuwa aache tabia ya kuombaomba hela kwa watu,Aliongea maneno hayo mzee huyo baada ya mwanamke huyo kuomba pesa mkoani shinyanga.Na kuongeza kuwa wao wana uwezo kwanini anaombaomba.
Mama kanumba ajibu na kusema baba kanumba amuache kwa yeye si mumewe na amuache kwani yeye alikuwa shinyanga kwa ajili ya miss shinyanga na si vinginevyo.

Comments