ALIKIBA KUFANYA SHOO JUKWAA MOJA NA NICK MINAJ,FALLY IPUPA,J COLE

 
Mwanamuziki wa bongo fleva Ally Salehe Kiba mwenye sauti tamu atafanya shoo jukwaa moja na Nick Minaj tar26,27,28 mwezi wa 9 huko City Of Tshwani.


Comments