Wasanii wenye majina makubwa wema sepetu na kajala masanja wanaelekea kumaliza bifu lao.hali hii ilitokea hapo jana nyumbani kwa marehemu tyson ambapo wawili hao walipatanishwa na kushikishwa mikono kwani haipendezi kuwa na mabifu yasiyoisha kwani wao ni wasanii wakubwa na kuna leo na kesho.
Comments
Post a Comment