WEMA :MIMI SIYO MJAMZITO JAMANI.... on June 17, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Wema sepetu amesema katika mtandao wa kijamii kuwa yeye siyo mjamzito na watu wanapata wapi hayo maneno alisema "jamani hii habari za mimi kuwa pregnancy mnazitoa wapi...am nat ..dah..i wish iwas but am not wapenzi wangu.alimalizia kwa kusema hivyo. Comments
Comments
Post a Comment