BREAKING NEWS:WATU SITA WAFARIKI DUNIA HUKO MBEYA

 Watu sita wafariki dunia na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya ndejela express lenye namba za usajiri t 257cmp lililokuwa likiendeshwa na dereva wa kike vailet mbinda(31) mkazi wa sokomatola,gari hilo liligongwa kwa nyuma na loli la mizigo na kupinduka wakiwa katika kijiji cha nanyala wilaya ya mbozi jijini mbeya.
Ajari hii imetokea majira ya alasiri barabara ya tunduma lori lenye namba za usajiri 369 awm aina ya scania dereva wa lori hilo akufahamika kwa alikuwa anaendesha kwa mwendo kasi sana..ambapo konda wa basi hilo alikufa baada ya wananchi kumkamata na kuanza kumpora mfuko wa pesa alisema hayo dereva wa basi hilo




 lori lilogonga basi hilo likiwa ovyoovyo.



baadhi ya majeruhi


Comments