TUNDA MAN KUFANYA SHOO MISS MOROGORO KESHO

 Msanii tunda man kesho atafanya shoo pale mjini morogoro katika shindano la kumtafuta miss morogoro katika hotel ya nashera hotel akisindikizwa na mo music na live band.kuanzia saa 2 usiku kiingilio ni sh 8000/= na v.i.p ni sh 10000/=


Comments