CHANZO CHA BIFU LA TARSIS MASELA NA CHRISTIAN BELLA NI MWANAMKE...


 Wasanii wenye majina makubwa katika mziki wa bolingo namzungumzia christian bellah na tarrsis masela joto ambao wamekuwa wakiendeleza bifu lao toka mda mrefu sasa yapata mwaka mmoja.ambapo kuna tetesi zilizonyetishwa kuwa ni ugomvi wa madaraka wakati ule bella alipokuwa akudo tarsis alitaka awe rais ingali yeye bado ajaweza kumfunika bella,pili ni ugomvi wa mwanamke ambae alikuwa mpenzi wa bellah na baadae tarsis alimchukua na kuwa mkewe na kuweza kuzaa nae.jina la mwanamke huyo limehifadhiwa na mwandishi wetu kwa ajili ya usalama zaidi




Comments