SOKO LA KARUME LAUNGUA MOTO JANA USIKU

 Soko la karume jijini dar es salaam laungua hapo jana usiku ni lile lililopo karibu na kiwanda cha bia cha tbl.chanzo cha moto kinadaiwa ni kina mama ntilie waliobandika maharage ili yaweze kuiva vizuri na matokea yake baadhi ya mabanda ya wamachinga kuungua.moto ulikuwa mkubwa kiasi cha fire kuushindwa kuuzima baada ya fire kuchelewa kufika eneo la tukio.



Comments