Msanii wa bongo movie Jackline wolper ameingia katika tuhuma nzito kutoka kwa watu mbalimbali.Shehe mkuu wa dar es salaam Alhad Musa Salum.Shehe huyo aliamua kumcharukia mrembo huyo kutokana na tabia kubadili dini mara kwa mara.Na kuongeza kuwa anatakiwa kuacha kucheza na mungu,na kubaki njia kuu.
Comments
Post a Comment