RIHANNA APATA DILI UARABUNI.... on June 28, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mwanamuziki robie rihanna kutoka marekani amepata dili katika kampuni ya majarida iitwayo HARPER'S BAZAAR.Ambapo rihanna a.k.a riri ametoka kivingine katika jarida hilo kwani aliweza kufavaa nguo ndefu kuanzia juu mpaka kidole gumba. Comments
Comments
Post a Comment