RIHANNA AHUDHURIA TUNZO ZA FASHION AKIWA UCHI....


Mwanamuziki asiyeishiwa vioja rihanna na mchumba wa chriss brown amewaza kuva nguo iliyomuacha wazi na kuonesha mwili wake katika tunzo za fashion CFDA akiwa nusu uchi pasipo kujari.




Comments