Bi rebbeca sengasenga mkazi wa kahama mkoani shinyanga ameuawa kikatili kwa kupigwa na shoka kichwani kwa kile kiitwacho kuwa ni imani za kishirikina,bibi huyo mwenye miaka 82 alipoteza maisha baada ya kupigwa na shoka hadi ubongo kutoka nje.tazama picha
gari la polisi likisubiri mwili wa marehemu.
Comments
Post a Comment