PICHA 15 ZA MATUKIO YALIYOJIRI KATIKA MSIBA WA TYSON on June 05, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Hizi ni baadhi ya picha za yaliyojiri hapo jana katika shughuli ya kumuaga marehemu george tyson katika uwanja wa leaders. monalisa akiwa na mtoto wake. monalisa akiwa katika masikitiko makubwa baada ya kuondokewa na mzazi mwenzie. monalisa akiwa amepoteza fahamu mtoto wa marehemu akiwa na majonzi makubwa Comments
Comments
Post a Comment