PENZI LA WEMA NA DIAMOND NI KAMA LA JAY Z NA BEYONCE....

 Wema sepetu amefunguka na kusema penzi lake na diamond ni imara na watadumu mda mrefu kwani wamepitia mengi,na waona mengi pamoja na kujifunza mengi.Aliongeza kuwa yeye aliumizwa na diamond naye alimuumiza pia.sasa tumeamua kutulia kwani tumekuwa wakubwa.na tunapenda kupitiliza.

 penzi lao lafananishwa na la jayz na beyonce.




Comments