OMMY DIMPOZ AFUNGUKA KUHUSU COLLABO NA DIAMOND



Ommy dimpoz afunguka kuhusu tetesi za kufanya kollabo na diamond platnumz ambapo katika collabo hilo yupo iyanya ambapo mtu mzima diamond aliamua kumpa shavu ommy dimpoz ambapo walikuwa wote huko uingereza na kufanya video ya wimbo huo jijini london.alisema ommy kuwa ni kweli nimefanya kollabo na diamond na nyimbo itakuwa poa sana watuwasubiri watoto wa kimanyema waje kufanya yao.

Comments