Mzee small amefariki usiku waa kuamkia leo katika hospital ya taifa ya muhimbili baada ya kuugua maradhi ya presha kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana,alipelekwa hospital hapo na mtoto wake aitwae muhidin ambae amesibitisha taarifa hizo.tukumbuke kuwa mzee small ni moja ya wasanii wakongwe tanzania katika tasnia ya filamu.inallilah wainallilah rajun pumzika kwa amani baba yetu.poleni sana familia ya mzee small,ndugu,jammaa na marafiki.
Comments
Post a Comment