Mtoto wa msanii wa bongo muvi kajala masanja ameibua makubwa na kusema anaumia sana na maneno yanayoendelea katika mitandao ya kijamii haswa instagram ambao umekuwa ukimchafua mama yake kuhusu anty wema sepetu huku akiongeza kuwa hao wanaoandika hawajui wema na kajala urafiki wao ulipoanza na wana kazi ya kushabikia mambo ya watu,na wengine hata hawajawai kumuona huyo kajala wala wema.aliendelea kusema jamani nawaomba mumuache mama yangu na anty wema watajua wenyewe kutatua matatizo yao.

Comments
Post a Comment