MTOTO WA AJABU AZALIWA...TENA HANA KWATO

Mtoto wa ajabu azaliwa akiwa tayari ameota nywele,akiwa na miguu ya ng'ombe yaani kwato.akiwa na kilo 6.ila kwa bahati mbaya alifariki mda mchache tu baada ya kuzaliwa.

Comments