Mwanamuziki kelly rowland ameweka wazi picha inayomuonesha akiwa mazoezini akijiweka fiti kwa ajili ya afya yake na ya mtoto.ambaye mimba hiyo ni ya mumewe.wawili hao walifunga ndoa hivi karibuni ambae alikuwa meneja wake Tim whiterspoon ambae kwa sasa ni mumewe.
Comments
Post a Comment