HUYU NDIYE MUIMBAJI NA HANDSOME KULIKO WENZIE KATIKA BENDI YA TWANGA PEPETA..

Katika bendi ya twanga pepeta kalala junior ndiye mwanaume mwenye mvuto,mzuri na anayejua kuimba pamoja na kumiliki jukwaa.huyu ni mtoto wa hamza kalala.



Comments