Mbongo fleva nasibu abdul almaarufu kama diamond platinumz amefunguka katika kipindi cha hekaheka kiruswacho kupitia radio clouds alifunguka kuwa alikuwa anatumia mda mwingi kusikiliza jinsi mzee yusuph na marehemu omary kopa kitu kilichomsaidia kuweza kupangilia nyimbo zake na sauti jinsi ya kupanda na kushuka.ndipo alipoamua kwenda kuomba kazi jahazi modern taarab.
Comments
Post a Comment