CHRISTIAN BELLA NI MSANII PEKEE WA BOLINGO ANAYEFANYA VIZURI KULIKO WENZIE


Msanii chrisrian bellah a.k.a obama na ni rais wa malaika band.bwana mkubwa huyu ameweza kuwa msanii pekee wa bolingo anayeongoza kwa kufanya vizuri pia kufanya kolabo na wasanii wakubwa kama nani kama mama aliyomshirikisha ommy dimpoz,usilie aliyoimba na banana,na si hao tuu pia ameweza kufanya kazi na mr blue pamoja na matonya



Comments