Msanii chid benz mkali wa ilala ameamua kufanya ngoma mpya japo akutaka kuitaja jina na lini inatoka ila katika nyimbo hiyo yeye ameimba verse mbili,ay ameimba moja na chorous amefanya diamond platinumz.hiyo nyimbo imefanya na maproducer watatu akiwemo dully aliyefanya mdundo kwa mara ya kwanza,na vocal zimefanywa na tud na emma the boy.
Comments
Post a Comment