Mwanamuziki eve e na muigizaji kutoka nchini marekani ameolewa na billionea mkubwa maxmilliano ambae ni mmliki wa kampuni nyingi za kutengeneza magari duniani.kwa eve e hii ni ndoa yake ya kwanza ila kwa mumewe ni ndoa yake ya pili huku akiwa na watoto watatu kwa mke wake wa kwanza.
Comments
Post a Comment