CHADEMA NA CCM NGOMA DROO on June 09, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Baada ya kutokea skendo ya mbunge john komba kuwa na uhusiano na mrembo angel sasa ngoma imekuwa droo baada ya mbunge wa chadema kuwa na mrembo ambae akujulikana ni nani wakiwa katika pozi tata. Wabunge wetu mnatutia aibu.... Comments
Comments
Post a Comment