Shambulio lingine limetokea huko kenya maeneo ya mpeketoni karibu na lamu limesababisha vifo vya watu 10.shambulio hilo limetokea leo baada ya alishabab kukiri kufanya shambulio juzi jumatatu na kuua watu wapatao 50 katika tukio hilo.washambuliaji waliendelea kushambulia hoteli,vituo vya polisi na kuchoma magari.
Comments
Post a Comment