BEN KINYAIYA APATA PIGO JINGINE....


Ben kinyaiya ambae ni mtangazaji mahiri katika kituo cha televishion clouds tv.amepata pigo jingine ukiachilia lile la kuibiwa vitu ndani ya gari yake,sasa amempoteza mjomba wake kipenzi aitwae tikisa aliyefariki dunia katika hospital ya ocean road jijini dar.pole sana ben kinyaiya kwa kuondokewa na mjomba wako.

Comments