Mtangazaji mahiri wa clouds fm,ambae pia ni muigizaji wa bongo muvi na mc wa shughuli mbalimbali hapa jiji.kwa sasa amekuja kivingine baada ya kufungua kampuni yake ya kutengeneza keki iitwayo kinyaiya's general service inayodili na shughuli zote za maadhalizi ya keki za aina zote na ukubwa wowote.kampuni hiyo inatengeneza keki za birthday,harusi na halfa mbalimbali.na ukitaka ziwekwe manjonjo ni wewe tu na pesa yako.
Kwa mawasiliano zaidi:+255755705055
Comments
Post a Comment