BABY MADAHA NI MJAMZITOO


Mwanamuziki baby madaha ambae yuko mjini nairobi kikazi na ndo ameweka makazi yake huko,kuna madai ya kwamba sasa ni mama kijacho a.k.a meneja na  na inadaiwa hiyo mimba ni ya mkenya mmoja maarufu sana mjini humo.




Comments