ANGALIA KIPANDE CHA VIDEO ALIYOFANYA DIAMOND NA IYANYA NI BONGE LA VIDEO..

Hiki ni kipande cha video mpya ya diamond platinumz ambayo itakuwa shida baada ya ile ya my no one rimix.
Video hii iliongozwa na moe musa,ambae alilipwa milioni 40 za kibongo ukiachilia matumizi mengine.alisema meneja wake babu tale.
 
Tayari video hii imeshaanza kuoneshwa chanel O wiki kadhaa.




Comments