ALIKIBA ATAACHIA KIBAO KIPYA SOON BAADA YA KUKAA MDA MREFU


Msanii mkubwa wamiki wa bongofleva alikiba ambae alikuwa kimya kwa mda mrefu.ambae alikuwa kimya akijipanga kufanya kazi zake mpya.mtandao huu uliweza kuzungumza na mdogo wake alithibitisha kuwa ali amejipanga vizuri kufanya kazi mpya japo akutaja jina la nyimbo wala studio gani aliyotumia.



Comments