Msanii wa bongofleva z.anton anategemea kuachia video ya wimbo wake mpya uitwao ukipendwa ringa,akizungumza na mwandishi wa blog hii z.anto alisema hivi sasa najipanga kufanya video yangu ya wimbo mpya nilioufanya kwa mazuu pale mazuu record studio hiyo iliopo mabibo.kwa sasa natafuta director mzuri wa kuweza kufanya video yangu kwani nataka iwe tofauti na video za nyimbo nyingine.
Hongera sana z.anton kwa kazi nzuri uliyoifanya na big up sana mazuu records.watanzania kaeni mkao wa kula kwa kupokea mzigo mpya kutoka kwa z.anton.
Comments
Post a Comment