WASANII WAMPONGEZA DIAMOND PLATINUMZ...... on May 15, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Msanii diamond apongezwa na wasanii wenzie kwa kuweza kuwa mmoja wapo wa wasanii wanaogombea tunzo za BET wasanii kama ben pol amesema msanii diamond ni mtu wa kuigwa kwani amewatia moyo wa kuweza kufanya vizuri katika kazi za musiki . Comments
Comments
Post a Comment