Msanii wa bolingo tarsis masela kuachia video kali soon.jana alifanya maojiano na mwandishi wetu wa habari na kueleza kuwa amefanya kazi nzuri na mzee yusuph pamoja na rapa kitunguu swaumu nyimbo iitwayo tabia mbaya ambayo iko tofauti na nyimbo zingine alizowahi kufanya.kwa wale wapenzi wa tarsis masela subirieni kichupa hicho.hongera masela rais wa akudo impact

Comments
Post a Comment