PENNY:NIMECHOSHWA NA RUMORS...



 Mrembo penniel mwingila ambae ni dvj wa tevelevishion hapa jiji, amefunguka na kusema amechoka na rumors zinaendela kusemwa na kugeuzwa yeye kuwa ni sehemu ya habari kila siku akiendelea kusema alikuwa mkimya sana kwa mambo mengi sasa ameshindwa na kuamua kuongea kuwa kila anapoongozana na mwanaume watu udhani ni bwanaake kitu kinachomkera sasa ni kusema ana mahusiano na rummy ambae ni rafiki yake wa karibu na watu wake wanajua yule ni rafiki yake.jamani watanzania mwachane penny wa watu aishi maisha yake....

Comments