MADEE APAGAWA NA PENZI LA JINI KABULA......

Mwanamziki madee apagawa na penzi la muigizaji jini.na kuonekana nae katika kumbi mbalimbali za starehe,na kufanya shopping pamoja.baada ya madee kutafutwa alisema jini kabula ni mtuwake wa karibu na kuna kazi wanafanya.

Ikumbukwe kuwa jini kabula aliwai kutoka na mr chuzi na kuzaa nae mtoto mmoja na hivi karibuni alikuwa anatoka na bushoke.

Comments